— ENGLISH VERSION —

MINISTRY OF ENERGY

CITIZENS’ SERVICE DELIVERY CHARTER

Service Rendered Client Obligation User

Charge (Kshs.)

Timeline
Attend to visitors Courtesy

Disclosure of services sought

Nil Within 5 minutes, on first come first served basis
Complaints Handling File complaint(s) following laid down procedures Nil Within 1 week
Response to mail(s) Accurate information,

Patience,

Courtesy.

Nil 7 days to reply to an ordinary letter, 30 days for enquires of technical nature
Access to Information 1.    Provide information on the  information sought, purpose,

2.    Provide name and contacts for feedback.

3.    Clearly state;

4.    Make request in writing

Nil

 

Immediate to 5 working days depending on information been sought
Evaluation of terms for Product Sharing Contract or License or permit application for Geo-Energy, Energy Exploration, Development and Production Submit PSC or License or permit application with proposed terms Nil Two weeks
Pre-qualification of suppliers Submit tender documents Nil 45 days
Issuance of quotation/ tender Pre-qualification. Not more that Kshs. 5,000 for tenders and Nil for quotation 15 minutes
Investment Grade  Audits Submission of proposal/ request audit Nil 1-4 Weeks
Promotion and Development of Renewable Energy Technologies (Solar, wind, biogas, cogeneration). a)    Submission of proposal.

b)    Cooperation from stakeholders

Nil 1-4 Weeks
Carry out energy audits in public institutions Submission of proposal/ request for audits Free 1-4 Weeks
Conducting Investment Grade  Audits Submission of proposal/ request audit Nil 1-4 Weeks

WE ARE COMMITTED TO COURTESY AND EXCELLENCE IN SERVICE DELIVERY

Any service/good rendered that does not conform to the above standards or any officer who does not live up to commitment to courtesy and excellence in Service Delivery should be reported to:

The Principal Secretary,

Ministry of Energy

Nyayo House

Kenyatta Avenue,

P.O. Box 30582-00100 Nairobi

Tel: +254 (0)20 3310112

Email: ps@energy.go.ke

Website: www.energy.go.ke.

HUDUMA BORA NI HAKI YAKO

— SWAHILI —

WIZARA YA KAWI

 MKATABA WA HUDUMA

HUDUMA ZINAZOTOLEWA WAJIBU WA MTEJA MALIPO MUDA
1. Kulaki wageni katika wizara Ustahifu

Kuweka wazi huduma zinazotakikana

Bure Haraka iwezekavyo kulingana na utaratibu wa kupokea wageni na waelekezi.
2. Upokeleaji simu Ustahifu Bure Sekunde thelathini kujibu simu
3. Kushugulikia maombi yaliyotumwa kupitia kwa barua Habari sahihi

Subira

Ustahifu

Bure Siku saba(07) kujibu barua ya kawaida, siku thelathini(30) maombi ya kiutaalamu
4. Kushughulikia malalamishi Kuwakilisha malalamishi

Kufuatilia taratibu zilizowekwa

Bure Ndani ya siku saba (7)
5. Kupeana Fedha kwa mashirika yaliyo chini ya Wizara baada ya kupokelewa kutoka kwa Hazina Kuu ya Serikali Kulingana na makadirio kutoka kwa  mashirika husika. Bure Ndani ya siku tatu (3)
6. Kupeana ujumbe kwa wanaohitaji Habari zinazotakikana na  madhumuni yake

Kutuma maombi, ikiwezekana kwa njia ya maandishi

Bure Ndani ya siku tatu (7) kufuatilia utaratibu uliowekwa.

TUNAJITOLEA KUTOA HUDUMA BORA:

Ikiwa kuna huduma isiyotimiza viwango vinavyotakikana au afisa asiyekeleza wajibu wake, tafadhali toa habari kwa:

Katibu Mkuu wa Wizara,

Wizara ya Kawi

Nyayo House

Kenyatta Avenue,

P.O. Box 30582-00100 Nairobi

Nambari ya Simu: +254 (0)20 3310112

Barua Pepe: ps@energy.go.ke

Tovuti: www.energy.go.ke.

HUDUMA BORA NI HAKI YAKO